MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2020/21Saido ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda kiungo Clatous Chama wa Simba na kiungo mshambuliaji wa Dodoma Jiji FC, Seif Karihe alioingia nao fainali.
Saido alionesha uwezo mkubwa katika michezo mitatu aliyocheza na kuwa msaada mkubwa kwa Yanga, ikiwa ni pamoja na kufunga mabao mawili na kutoa pasi za mwisho tatu zilizozaa mabao. Saido amesajiliwa Yanga katika dirisha dogo la usajili lililofunguliwa katikati ya mwezi uliopita.
Unalinganishaje mtu mmoja kacheza mechi mbili mwingine zaidi ya nne?
ReplyDeleteKwani lengo lilikua kujua mchezaji anacheza michezo mangapi au amesaidia vipi timu yake kupata points kwa mwezi December?
DeleteHiyu saida bado sana kumpa credit, muda utasema
ReplyDeleteSasa ulitaka hadi are ndio arudi we?
DeleteChama na Seif walicheza mechi ngapi na mchango wao ulikuwa upi ili watu wakinganishe ushindi? Maamuzi ya hovyo kabisa kulinganisha wachezaji wanaocheza positions tofauti uwanjani
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDo!
ReplyDeleteUnayeshangaa wachezaji wa nafas tofauti kushindanishwa sijui upo ulimwengu gan, hukuona magolkeper wakishindania tuzo za mchezaji bora wa ulaya pamoja na washambuliaje, akina van djick maveki wakichuana na akina Cr 7? Rudi kajifunze soka, halafu kusema uangalie mechi alizocheza kwan hiyo ni tuzo ya mwaka, wao wameangalia mwezi December wew umecheza mechi kumi ni wew umecheza mechi moja ni wew ila ziwe za ligi kuu na zimezezwa December na umeisaidiaje timu katika hizo mechi ulizocheza

ReplyDeleteAhahaha
ReplyDeleteKusaidia timu kushinda sio lazima uwe imefunga magoli mengi. Ni namna gani 7chezaji wako ni muhimu ktk timu
ReplyDelete