BAADA ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kukamilisha dili la Fiston Abdulazack kwenye usajili wa dirisha dogo inakuwa imesajili jumla ya nyota watatu.
Nyota mwingine ambaye amesajiliwa ni pamoja na Saido Ntbanzokiza naye ni raia wa Burundi pamoja na mzawa Dikson Job.
Huenda kikosi cha kwanza kitakuwa namna hii:-
Mnata Metacha
Kibwana Shomari
Lamine Moro
Bakari Mwamnyeto
Yassin Mustapha
Tonombe Mukoko
Feisal Salum
Saido Ntibanzokiza
Tuisila Kisinda
Yacouba Songne
Fiston Abdulazack
Well Deusi kaseke angekuwa mgeni angekuwemo kwenye kikosi cha kwanza.
ReplyDeleteKwani waliopanga ndio makocha au ni waandishi?
DeleteWapi kaseke wetu
ReplyDeleteUjinga tu
ReplyDeleteKaseke Sab pamoja na fard Musa au munaonaje
ReplyDelete