January 24, 2021

15 COMMENTS:

  1. Vipi mavi yameanza kugonga chupi?
    Huu ni mwanzo tu Utopolo mtakimbia wote.

    ReplyDelete
  2. Karibu bongo Da Rosa lakini jihadhari sana na huyo jamaa uliekaa nae hapo maana ana majungu huyo!!!!hasa anapokataliwa jambo lake katika masuala ya usajili na upangaji timu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa Kati ya wewe na yeye Nani ana majungu,hapo tu ushaonyesha kwamba we ndo mwenye majungu Utopolo kazi mnayo mwaka huu

      Delete
    2. Mdau ametoa angalizo kwa yale yaliyotokea, ukitaka kuupata ukweli fanya utafiti mdogo tu kwa watu walio karibu na benchi la ufundi.Unaijua sababu ya kuondoka Uchebe?Unajua sababu ya mvutano wa Swedi Nkwabi na kinachoitwa bodi ya wakurugenzi? Unaujua mvutano uliotokea wakati wa usajili wa Ibrahim Ajib na baadae Shiza Kichuya? Yote ni interest za watu fulani kwa maslahi yao.

      Delete
  3. Wewe lazima ni Utopolo. Haji anahusika vipi na kupanga timu?
    Majungu yapeleke Utopolo.

    ReplyDelete
  4. Mvutano au kutofautiana mawazo ni dalili za healthy environment. Ukiona kila kinachoamuliwa watu wanafuata bila majadiliano au kutofautiana basi klabu hiyo ni ma robots au Utopolo wanaoburuzwa na GSM.
    Mkuu ulikuwa unafaidika na majungu??

    ReplyDelete
  5. Coach tumesha tangaziwa, Sasa Tukutane uwanjani, Uzuri mpira ni mchezo wa wazi!

    ReplyDelete
  6. Kocha Utopolo ukiwauliza mashabiki wa Utopolo. Je kocha wenu NI nani?
    Wao huwa wananijibu NIKAZE.
    Wakati mimi sina mawazo ya kuwakaza!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic