UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Bakari Mwamnyeto wa kupata msiba wa mchumba wake ambaye amefikiwa na umauti kutokana na matatizo ya uzazi.
Mwamnyeto ambaye alikuwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ameondoka kambini kwa ajili ya msiba huo.
Uongozi wa Yanga umesema kuwa unampa pole Mwamnyeto kutokana na kupata pigo hilo baada ya mchumba wake pamoja na mtoto kukutwa na umauti kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Pole sana kijana. Hilo ni pigo kubwa ila Mungu anajua na atakupa nguvu kulipitia hili tatizo.
ReplyDeletePole mpambanaji tegemeo LA Taifa stars Mungu akusimamie kwa kipindi hiki kigumu
ReplyDeletePole Sana BNM
ReplyDeleteMungu awake nguvu za usitamilihivu
ReplyDeleteMungu awake nguvu za usitamilihivu
ReplyDeletePole sana BNM
ReplyDeleteSisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea,pole broo
ReplyDeleteInna Lilah Wa Inna Ilayh Rajiun. Pole sana beki wetu. Allah Akutie nguvu katika mtihani ulokukuta
ReplyDeleteToo sad! Wapumzike kwa amani
ReplyDeletePole sana Ndugu Mwamnyeto. Yote ni mipango ya Mungu.
ReplyDeleteMungu akutie nguvu
ReplyDeletePole Sana Mwamnyeto kwa pigo hilo mungu akutie nguvu
ReplyDelete