FT:African Lyon 0-3 Simba
Mapumziko
Uwanja wa Mkapa
African Lyon 0-2 Simba
Kombe la Shirikisho
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Mwashiuya anapiga faulo haizai nyavuni
Dakika ya 44 Kibingu anachezewa faulo
Dakika ya 43 Ajibu Goaaal
Dakika ya 40 Ramadhan Hashim anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 39 Dilunga anakosa nafasi ndani ya 18 baada ya kumpiga chenga kipa
Dakika ya 35 Kagere anacheza faulo kwa nyota wa African Lyon
Dakika ya 34 Kibingu anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 33 Gadiel Michael anapeleka mashambulizi African Lyon
Dakika ya 28 Chikwende anapiga kona ya 7 kwa Simba
Dakika ya 27 Gadiel Michael anapeleka mashambulizi African Lyon
Dakika ya 26, kipa wa African Lyon anaokoa
Dakika ya 22 Kagere anapiga penalti pembeni anakosa
Dakika ya 15 Dilunga on target
Dakika ya 11 Manula anaokoa hatari
Goal Ajibu dakika ya 9
Dakika ya 6 Manula anaokoa hatari
MAMBO NDIYO HAYO HATUTAKI DHARAU, LAZIMA TOFAUTI IWEPO TU
ReplyDeleteMnyama huyo anazidi kukata mbuga
ReplyDeleteChapa tu
ReplyDelete