February 4, 2021

 


IMEFICHUKA rasmi kuwa klabu ya Yanga ipo tayari kumuachia mshambuliaji wao Michael Sarpong endapo tu kama kuna timu itakuwa tayari kulipa fedha kiasi cha shilingi bilioni 1.2 kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji huyo.

Sarpong mwenye uraia wa Ghana alijunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya Rayon FC ya nchini Rwanda katika usajili wa dirisha kubwa, ambapo tangu ajiunge na timu hiyo amefanikiwa kuifungia mabao 4 katika michezo ya ligi kuu.

Chanzo chetu cha uhakika ndani ya Yanga kimetuambia kuwa kabla mshambuliaji huyo hajatua Yanga alitakiwa kujiunga na moja ya klabu kutoka china kwa kiasi cha shilingi bilioni 1.5, lakini dili hilo liliharibika kutokana na uwepo wa janga la Corona.

Hivyo kama wachina hao watamuhitaji tena Sarpong itabidi walipe bilioni 1.2 ili waweze kumpata maana kuna taarifa kuwa bado wachina hao wanamuhitaji Sarpong.

“Sarpong kabla ya kusajiliwa na Yanga alikuwa akihitajika ndani ya timu nyingi ndani na nje ya Afrika,kuna timu kutoka China ilikuwa tayari kumsajili kwa fedha ndefu zisizopungua Shilingi Bilioni 1.5, lakini dili lao lilikwama kutokana na uwepo wa janga la Corona ila kama kusingekuwepo na janga hilo basi Sarpong angekuwa anakipiga katika moja ya klabu inayoshiriki ligi ya china. 

“Wachina bado hawajakata tamaa ya kumuhitaji Sarpong kwani bado wanamfuatilia kwa ajili ya kujaribu kumsajili tena, Yanga wanaweza kumuachia Sarpong lakini itawalazimu kumnunua mshambuliaji huyo kwa shilingi Bilioni 1.2 na kama hawatafikia hapo basi hawatampata,” Kilisema Chanzo hiko.

 

 

 

 

22 COMMENTS:

  1. Mtamuuzia nan huyo galasa, bakini na majanga yenu

    ReplyDelete
  2. Mchezaji aliyeflop unanwuuza kwa 1 2 billion. Labda hao wachina na iwe hawafuatilii mae deleo yake kwa kipindi hiki.

    ReplyDelete
  3. Hivi ipi Time Bora Kati Mazembe na Dodoma Jiji.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNADHANI DODOMA WALIENDA KUFANYA MAONYESHO YA NGUO? WALIJIANDAA KUMBUKA, WALITAKA HIZO HIZO POINT TATU ZA SIMBBA NAO

      Delete
  4. Ongeza na na refa kujiripua ,Leo mwandembwa alikuwa Kama Elias Sasi siku ya KMC ,yupo katikati mean Uwanjani Linsmen anaamua mpira wa kurushwa yeye anasema free kick to Dom,Hiyo nimeipenda kumbuka ilikuwa 1-1 hapo na wenye Timu yenu mpo under pressure mnahitaji matokeo mnadhulumu ukweli wa mchezo ,kumbuka Yanga vs Azam Chamaz mwaka huu alijitahidi kuwa Kocha wa Azam bado tuliwabaka,na mnaenda zaidi bado mnatuwekea huyo Mama Zabron ,kama Fourth Official ,hilo tukio halitazungumziwa ili mradi tunaitafuta Yanga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wale wazembe wa kufikiri kama wewe na wanataabika sana na endeleeni kuchangia Tambwe kwanza then tukutane uwanjani

      Delete
    2. Mnyama amesogea juu tayari mapovu kama yote, yaani umeandika gazeti

      Delete
  5. Ameflop wapi na vipi au unadhani hi ni Ligi ya wanawake

    ReplyDelete
  6. Vinaanza wapi visingizio hayo ni Mambo ya Uswahili Kama hukuona kaa kimya,Lkn Mimi leo nimeona Dodoma Jiji Bora kuliko Simba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaweza kuwa mfungaji bora na usiwe mchezaji bora. Tukio nililiona, mcezaji wakati anaugonga mpira unatoka nje alikuwa tayari kafanyiwa faulo, hata ningekuwa mimi ningepuuza maamuzi ya kibendera kwa kuwa hayakuwa sahihi

      Delete
  7. BUnge,lote lenu,Wagogo wenu NK na Mwandembwa Tena eti na Zabron

    ReplyDelete
  8. Wewe mechi za simba hazikuhusu unazifuatilia nini? Utaumia moyo bure

    ReplyDelete
  9. Gharasa Hilo wauzieni singida utd

    ReplyDelete
  10. Kweli mechi za Simba hazinihusu ,Lkn hata Kahaba uwa anakidhi matakwa yake Lkn anakiuka utaratibu wa jamii kwa Ujumla/Kwangu Mimi sitofautishi Simba Fc na jamii ya Makahaba .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mwenyewe shoga wa kitambo tu tena kuna rafiki yangu ameshakunyandua utopolo

      Delete
    2. Kama ni Simba Fc sawa. Hapa tunayoizungumzia ni Simba Sc

      Delete
  11. Unakosa hekima katika jamii. Unawezaje kuwafananisha wapenzi wote wa simba na makahaba? Humo kuna watu wa kila aina hadi viongozi wakubwa wa nchi. Wewe ni nani hadi useme vile? Kama huwezi ushabiki kaa kimya kuliko kutukana watu

    ReplyDelete
  12. Sikuwahita Simba Makahaba nimemanisha mtu anajua anatenda uovu na yupo kinyume na ustaraabu bado anaona yupo sawa Tena anajisifia,Makahaba wapo hivyo akikuona unapita hajali na Hana hofu ya Mungu atakwambia mpenzi nk,Ninao Kaka zangu ,marafiki ndugu hata Watoto wanapenda Simba.Mimi

    ReplyDelete
  13. Upo sawa Lakini kuwa Kiongozi siyo sababu ya kutotenda dhambi ,Mimi ni sauti ya mtu aliyae nyikani naendelea na msimamo wangu umeudhika shitaki,mcha Mungu anachukia dhambi ila ukiona mtu anachekelea dhambi huyo ni wa Shetani,huo mchezo wa mpira kwa wasioupenda wanakwambia ni wa Shetani sisi tunaoupenda tunatetea na ukweli ni kwamba huu mchezo Kuna watu ni kazi yao na wanaishi kwa kuutegemea ,na wanaomba hata Mungu wapate ushindi ndiyo maana unatambuliwa na sheria ya nchi,Ukakasi unaanza pale mchezo unapoendeshwa kinyume na kusudio lake ilimradi kujifurahisha na kukandamiza Ustaraabu na maadili ya mchezo husika kisa eti huonekane unajua ,hapo lazima tukemee neno Kahaba linatafsiri ya uhovu,uhasi ,rahana nk na watu wa aina Hiyo mwili wao umejaa dhambi umetekwa na Roho za mapepo,.Hiyo nayo haina tofauti na watu Wana Timu ya mpira unasajili kwa Mamilioni na una kambi nzuri ,Makocha wazuri Lkn bado unategemea Refa akusaidie against Timu inayookoteza Wachezaji , budget yake Mchezaji wako mmoja mshahara wake anaweza kuendesha Hiyo Timu na huyo .Hayati Nyerere Baba wataifa aliwahi kusema mtu anaye jihusisha na rushwa mwogope Kama Ukoma ,Kama ulielewa Ukoma kwenye maandiko ni rahana so na Timu yoyote inayopenda matokeo ya njia za mkato Ina rahana ya ubatili .

    ReplyDelete
  14. Bado mnaile kitu eti mind game ,ambayo Duniani imekwisha kabaki nayo Mourinho (Kocha wa Tottenham) utasikia Kocha eti Chama mgonjwa hatacheza ,mala Kapombe mgonjwa na hapo mpaka mnaitisha media.kesho uwanjani unamwona mtu akiulizwa Kocha eti Mind game,Huo uhuni mmeutumia kipindi Cha dirisha dogo kwa Morisson eti Ana henia kumbe mnacheza na TMS mkisaidiwa na ule uovu niliyoutaja, hili kutupumbaza .

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic