BONDIA wa ngumi za kulipwa Twaha Rubaha ‘Twaha Kiduku’ Kiduku amefunguka kuwa mazoezi magumu ambayo amekuwa akiyafanya kabla ya mapambano ndiyo sababu kubwa ya ukali wa ‘punch’ ngumi zake.
Akizungumzia ubora wa 'punch' zake Kiduku amesema: “Ni kweli watu wengi wamekuwa wakiniambia napiga ngumi kali, hasa mabondia naokutana nao na hata makocha wangu huniambia ngumi zangu zinauma.
“Hii inatokana na mazoezi makali ambayo nimekuwa nikiyafanya,
chini ya makocha wangu akiwemo Charles Mbwana kabla ya mapambano yangu kwani
kwa kawaida huwa nafanya mazoezi kwa miezi mitatu,”
0 COMMENTS:
Post a Comment