KLABU ya Simba imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA kwenye jezi ambazo zitatumika katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imetinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya FC Platinum kwa mabao 4-0, Uwanja wa Mkapa.
Makubaliano hayo ambayo yamefanyika leo Februari 5, makao makuu ya nchi Dodoma.
Safi kabisa
ReplyDeleteHuo ndo ubunifu tunaouhitaji kwa maendeleo ya mpira Tanzania na Secta ya uchumi kwa ujumla
ReplyDeleteHongera C.E.O wa Simba na menejiment yote kwa ujumla
Wangeongeza na maneno "Corona free"
ReplyDeleteMnajidanganya kuwa Simba Ina menejimenti, pale Mo Yuko Kama alivyokiwa Manji akikohoa wote wanainama..... Na Tabia ya wahindi anaacha mmemwamini sana baadae anawaacha kwenye mataa. Tuone Kama hizo asilimia 51 zitalipa hata mshahara wa kagere
DeleteWewe ndo unajidanganya kwa kukariri kuwa Mo ni kama Manji Mo anaipenda Simba wakati alikuwa anatumia Yanga kuendesha Mambo yake,alafu kitu kingine dua la kuku siku zote halimpati mwewe, alafu mbona washabiki wa Yanga mnakuwa na hasira sana na Simba huu ni Mpira tu mwisho wa siku unashangalia ukishinda,ukifungwa unakaa kimya Sasa watu wa Yanga mmekuwa na chuki na Simba Yani kama Vita vile du!!!
DeleteSasa naweza kufikiri kuvaa jezi ya simba, ina thamani!
ReplyDeleteUhasidi FC
ReplyDeleteKazi yao kupiga vita kila kizuri na kulalama. Hata wakifungiwa na FIFA sio kosa lao bali ni njama.
Ukiwa na mtazamo wa kulalamika na kulaumu jua wazi hutafanikiwa kwani, hutawajibika bali utalaumu wengine kwa makosa yako.
Ubinifu wa maana, co sawa na kuzindua kalenda
ReplyDeleteKwani Kuna watalii kutoka Kongo, Sudan au Misri kuja Tanzania au mbwembwe?hata hao watu wa Utalii fikra zimepungua .Watalii waje huku kwa kuangalia michuano mibovu na corrupt ya Africa au tunategemea Koffi Olomide aje?Tanzani a inajulikana Sana hasa huo mlima toka zamani. Kama labda ni kutangaza wachezaji Simba 1st Eleven uhakika wa kuanza wazawa ni Manula,Kapombe na Shabalala waliobaki mpaka sub wanje wote,na Corona hii si bora kuuza maji ya Kilimanjaro kuliko haya mauza uza ya Vitambaa,halafu wenzetu mnatumika Sana kwenye upigaji,.Watu wa Utalii wamewalipa au ofa
ReplyDeleteUnaonesha ni jinsi gani kichwani mwako palivyo patupu hata kuandika katika mtitiriko ulionyooka ni shida
DeleteAkili finyu san
DeleteHuyo jamaa nilishawahi kusemaga Mpira hajui alishawahi kusemaga Simba imeingia makundi lakini ipo raundi ya pili akajifanya eti anatoa ufafanuzi huyo ni mteru Mpira hajui
DeleteMbona sioni picha ya paka mweusi na nguruwe hahahah nguruwe fc nyie
ReplyDeleteHusuda FC roho zinauma. Mauzo ya kalenda vipi?Madeni yanawangoja.Manyani afC Eymael hakukosea.
ReplyDeleteTunategemea serikali nayo isaidie japo kulipia au kutoa ndege ya kuisafirisha timu maana najua hawawezi kulipia hilo tangazo full
ReplyDeleteKudadeki senzo kika siku anapigwa bao na babra
ReplyDeleteKila siku anapigwa bao
ReplyDeleteNasisitiza Simba ipo second round jiuwe,Halafu huo Utalii ni Kiherehere Cha pale tu kila Kiongozi akipenda Simba akili zake huwa azitulii, mpaka ajionyeshe mfano mfupi Chigwangalla,Makonda na Sasa Kaingia Ndumbaro eti Utalii kwani hatumjui alikuwa TFF tunamkumbuka,Timu ya Taifa imeenda CHAN,je hapakuwa na fursa ya Kutangaza Utalii,Mwisho mi nadhani Kama we ni Mkristo Soma Maandiko hasa Mithali Uone mtiririko wa maudhui,kwa mtu anayejifunza kusoma na kuandika Kama wewe na wengi huwezi kunielewa kabisaa.
ReplyDelete