JOASH Onyango beki wa kati wa Klabu ya Simba ambaye ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa amesema kuwa angekuwa ni kocha kikosi chake cha kwanza mshikaji wake Francis Kahata angeanza.
Pia katika safu ya ushambuliaji amemuengua Mugalu ambaye ni chaguo la kwanza la Gomes kwa sasa ndani ya Simba na kumpa mikoba hiyo Meddie Kagere nahodha wake pia John Bocco amewekwa kando kidogo.
Beki huyo amesema:- "Kama ningekuwa kocha na ninajua kwamba ninaweza kuwa kocha, basi kikosi cha timu yangu kingekuwa hivi:-
1. Aishi Manula.
2. Shomari Kapombe.
3. Mohammed Hussein.
4. Erasto Nyoni.
5. Pascal Wawa.
6. Jonas Mkude.
7. Luis Miquissone.
8. Mzamiru Yassin.
9. Meddie Kagere.
10. Clatous Chama.
11. Francis Kahata.
Hapo inaonesha na yeye mwenyewe ambae ni chaguo la kwanza la kocha na mashabiki pia kajiweka kando na kwa hilo sikubaliani nae hata kidogo
ReplyDeleteHuyu akiwa Kocha akimaliza siku 30 bila kufukuzwa akafanye Sherehe!
ReplyDeleteUgoro mtupu
ReplyDeleteKikosi kizuri
ReplyDelete