March 31, 2021


 KOCHA Mkuu wa timu ya Kagera Sugar, Francis Baraza amesema kuwa kazi ya kwanza atakayoanza nayo kwa sasa ni kushughulika na safu ya ushambuliaji ili irejeshe makali yake.

Baraza amechukua mikoba ya Mecky Maxime ambaye alifutwa kazi kutokana na mwendo mbovu wa timu yake na mchezo wa mwisho kukaa benchi ilikuwa mbele ya Azam FC ambapo ubao wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-2 Azam FC.

Kwa sasa Maxime yupo huru ambapo amekuwa akitajwa kuibukia Biashara United kuchukua mikoba ya Baraza.

Akizungumza na Saleh Jembe, Baraza amesema kuwa amewatazama washambuliaji wake walivyo na ameona ni lazima aanze nao ili kuongeza kasi kwenye ushambuliaji.

"Ili timu ipate ushindi ni lazima ifunge na ufungaji unaanzia kwa washambuliaji pamoja na viungo ambao kazi yao ni kutengeneza nafasi za kufunga kwa washambuliaji.

"Kikubwa ambacho nina amini kwamba kinawezekana ni kupata matokeo katika mechi zetu hivyo mashabiki watupe sapoti bila kuwa na mashaka nasi," .

Kagera Sugar kwenye msimamo ipo nafasi ya 13 ina pointi 25 baada ya kucheza mechi 24. Safu ya ushambuliaji imefunga mabao 23.

2 COMMENTS:

  1. Mwandishi we ni mavi ya nguruwe kabisa, unasema kocha wa biashara ila ndani unaandika kocha wa KAGERA SUGAR! Kuma kweli we

    ReplyDelete
  2. Yaani huyo mwandishi Naona sio Mavi ya nguruwe yaani hata aliposomea hiyo taaluma yake sijui ni nchi Gani yaani hata mwalimu wake pia msenge mama yeye mwanafunzi waje

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic