LEO Machi 6, Uwanja wa Mwadui Complex kutakuwa na kazi ya timu mbili za Ligi Kuu Bara kusaka ushindi ndani ya uwanja huo.
Haya hapa matokeo yao ya muda wote ndani ya uwanja walipokutana kwenye mechi za Ligi Kuu Bara:-
20/09/15
Mwadui FC 0 - 1 Azam FC mtupiaji alikuwa ni Kipre Tchetche.
07/02/16
Azam FC 1 - 0 Mwadui FC, Mtupiaji alikuwa ni Kipre Tchetche.
09/11/16
Mwadui FC 1 - 4 Azam FC kwa Mwadui FC mtupiaji alikuwa ni Hassan Kabunda. Kwa Azam FC ilikuwa ni John Bocco, Shaaban Idd, Francisco Zekumbawira, Shaaban Idd.
19/02/17
Azam FC 2 - 0 Mwadui FC watupiaji walikuwa ni Salum Abubakary, Idd Mobi (alijifunga).
14/10/17
Mwadui FC 1 - 1 Azam FC kwa Azam FC mtupiaji alikuwa ni Himid Mao na kwa Mwadui ilikua ni Hassan Kabunda.
08/03/18
Azam FC 1 - 0 Mwadui FC kazi ya Yahya Zayd.
14/09/18
Mwadui 1 - 1 Azam FC kwa Azam FC alikuwa ni Salum Abubakary na kwa Mwadui ilikuwa ni Innocent Edwin
19/01/19
Azam 1 - 0 Mwadui FC kazi ya Donald Ngoma.
22/01/20
Mwadui 0 - 1 Azam FC ilikuwa ni Shaaban Idd.
08/07/20
Azam FC 1 - 0 Mwadui FC mtupiaji alikuwa ni Andrew Simchimba.
15/10/20
Azam FC 3 - 0 Mwadui FC watupiaji ilikuwa ni Obrey Chirwa alitupia mawili, Prince Dube
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam, Zakaria Thabit amesema kuwa kila kitu kipo sawa na wanahitaji kupata matokeo chanya.
0 COMMENTS:
Post a Comment