LIGI Kuu Tanzania Bara leo Aprili 17 inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu kusaka poini tatu muhimu.
Coastal Union iliyo nafasi ya 11 na pointi 30 v Ruvu Shooting iliyo nafasi ya 8 na pointi 34, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 15 na pointi 24 v Kagera Sugar, iliyo nafasi ya 14 na pointi 26, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 51 v Biashara United, iliyo nafasi ya nne na pointi 40 Uwanja wa Mkapa, Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment