April 26, 2021

OFISA Habari wa Azam FC amesema kuwa yeye mmoja ni sawa na Bumbuli, Antonio Nugaz ukichangaya na Dismas Ten unampata Zaka mmoja kutokana na nafasi ambayo yeye anaifanyia kazi yupo peke yake na pale ambapo wanakwama huwa anakuja kuwasaidia Ten.
 
Ameongeza kuwa ikiwa itakuwa ni Zaka Zakazi basi utachanganya wengine wote mpaka kocha wao, pia kuhusu jambo lao ameweka wazi namna hii. Amesema kuwa sababu kubwa ya kuwafunga ni nguvu ya Mungu

 

3 COMMENTS:

  1. Sijanua kama ana utani na yanga au vipi, otherwise maneno yake sio sahihi. Kama anawalaumu simba kwa kuwachochea waifunge yanga pia namshangaa maana hilo ni jambo la kawaida, alichofanya simba kumwombea njaa adui yake, kupanga matokeo kunakujaje hapo. Unless alioewa hela ili amfunge yanga japo na hilo sio labda kama upewe hela uachie ushindi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic