May 23, 2021


 

KIKOSI bora cha wiki Ligi ya Mabingwa Afrika,katika hatua ya robo fainali kimetolewa ambapo  nyota watano wa kikosi cha Simba wametajwa.

Licha ya kwamba kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na msaidizi wake ni Seleman Matola kuishia hatua hiyo.

Wachezaji ambao wametajwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Luis Miquissone.


8 COMMENTS:

  1. Mwandushi vipi wewe, ni watano sio wanne, hesabu vizuri. Kapombe,Luis,Chama, Boko na mohamed Husssein. Inasikitisha timu bora imetolewa!

    ReplyDelete
  2. Gongo wazi lenye chuki na hasada hilo. Mnyama anaposifiwa yeye anaumia ni hatari kwa siha yake

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo mmebakwa au mmetolewa??????

    ReplyDelete
  4. Mnyama kasifika kimataifa

    ReplyDelete
  5. Loo kumbe sharia la Emirates. Kweli ystia uchungu

    ReplyDelete
  6. Kiana tuumeetingaa uto mjiandaeee kutoa hataa shabiki boraa waa week

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic