MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA KWA SASA UPO NAMNA HII UTAZAME MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili ndani ya ligi kila timu ikipambania kutimiza malengo.
Safi sana ukitazama hapo utaona baki pointi tatu tu kumfikia Simba G4 na kumkata mkia wake na baada yake kuongoza na kufikia lengo na kinachotakikana kwa sasa ni subira tu kabla kupinduwa Meza ambayo ataeweza kuinyanyua tena
ReplyDeleteWanajangwani 2pambane dro zina2felixha
ReplyDeleteKweliiiiiiii yanga pambaneni maan Azam mda c mrefu anawapindua...Ila kwa MNYAMA kumfikia bado Sana maan anamichezo yakutosha Zaid yenu.
ReplyDelete