May 5, 2021

2 COMMENTS:

  1. Utafungwa na itabidi uombe radhi urejeshwe kazini kwakuwa huna kipato kingine kwani si ilitoka Mmoja akasema akifungwa na Simba ataachika mkewe na akabakia kuangusha kilio lakini hawa ni wepesi sana kusahau

    ReplyDelete
  2. Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa yanga lakini huwa napenda shabiki mwenzangu awe wa simba au yanga aziongelee timu hizi mbili ki uhalisia,panapostahili kusifia afanye hivyo bila kujali anaemsifia ni mchezaji wa timu yake/klabu yake au mpinzani,penye kukosoa afanye hivyo pia bila kujali anaemkosoa ni mchezaji wa timu yake/klabu yake au mpinzani.Baba levo ameshindwa kufanya hivyo,huwezi kumdharau mchezaji kama luis Mikson.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic