May 5, 2021


KIPA wa kikosi cha Kagera Sugar, Chalamanda ambaye alikaa langoni wakati timu yake ikikubali kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora amesema kuwa alikuwa anapoteza muda ili kuwazuia wapinzani wao Simba wasiwafunge mabao mengi.

 Ameweka wazi kwamba nyota wa Simba Bernard Morrison na Meddie Kagere ni wachezaji wazuri na Simba ni timu nzuri. Kutokana na tabia hiyo kwenye mchezo huo alionyeshwa kadi moja ya njano.

 

2 COMMENTS:

  1. Uopolo mmesikia huko, sasa nyie jifanyeni viburi muone

    ReplyDelete
  2. Waache tuwapige nyingi hao wameshazoea

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic