IMEELEZWA kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Simba, Seleman Matola alitishiwa bastola na vijana huko nchini Afrika Kusini alipokuwa kwenye manunuzi ya vitu kwa ajili ya wachezaji wake.
Simba ilikuwa Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali ya kwanza na ilikubali kichapo cha mabao 4-0 na leo imerejea Bongo kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo wa marudio dhidi ya Kaizer Chiefs unaotarajiwa kuchezwa Mei 22.
0 COMMENTS:
Post a Comment