Mechi za kibabe kuchezwa wikiendi hii, timu nyingi kutafuta ubingwa ili kufuzu mashindano ya ligi mbalimbali. Nani atashuka, nani atapanda daraja na nani ataibuka na ushindi? Bashiri leo na Meridianbet na ushinde, tumekuandalia Odds kubwa kwenye mechi za wikiendi hii.
Ijumaa hii katika La Liga patapigika vikali, Espanyol watakaribisha Cartagena nyumbani ili kutetea ubingwa wake, baada ya kukosa pointi akiwa ugenini kwa Zaragoza katika mchezo wao wa mwisho uliochezwa tarehe 8 mapema mwezi huu. Huku Mallorca wakiwatazama kwa jicho la tatu. Je, watatusua pointi 3 muhimu? Ifuate Odds ya 1.70 kwa Espanyol kupitia Meridianbet.
Kunako EPL, Southampton watakuwa wenyeji wa Fulham katika uwanja wa St. Mary’s, Uingereza. Mchezo huu ambao pengine Southampton watatoka na Pointi 3 baada ya Fulham kushuka daraja. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Southampton.
Seria A Jumamosi hii kitaumana, Juventus watawakaribisha mabingwa Inter Milan pale Allianz Arena huku wakitafuta pointi 3 muhimu ili kufuzu kucheza mashindano ya UEFA msimu ujao. Je, watafanikiwa? Ifuate Odds ya 2.25 kwa Juventus ukiwa na Meridianbet.
Jumapili hii katika La Liga hawapoi, Athletic Bilbao wakiwakaribisha Real Madrid katika uwanja wa nyumbani wakati Madrid akitafuta 3 muhimu kumpiku Atletico ili atangaze ubingwa. Je Madrid atafanikiwa kuingia kileleni? Odds ya 1.77 kwa Madrid inaweza ikakupa ushindi wa kibabe.
Jumapili hii kwenye Bundesliga hakujachaha. RB Leipzig watachuana vikali na Wolfburg katika uwanja wa nyumbani wa Leipzig huku wote wakipambana kushikilia nafasi zao ili kufuzu UEFA msimu ujao, wakipishana pointi 4 tu. Leipzig ataweza kutetea nafasi yake? Odds ya 2.5 imewekwa kwa Leipzig ukiwa na Meridianbet.
Meridianbet ni nyumba yenye Odds Bora na Bonasi kubwa. Jumatatu hii tunakuanzishia wiki na Odds bora kwenye mchezo wa Verona dhidi ya Bologna. Unaweza kuifuata Odds ya 2.60 kwa Verona Jumatatu hii.
Kuwa bingwa na familia ya Mabingwa ya Meridianbet!
ReplyDeleteNice newz
Vizuri sana
ReplyDeleteHabari njema
ReplyDelete