June 25, 2021

 


BREAKING: MTANZANIA Kelvin John amesaini dili la kuitumikia Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.


John ambaye ni mshambuliaji amesaini dili la miaka mitatu baada ya kufikisha umri wa miaka 18 kwa kuwa alikuwa anasubiri kufikisha miaka 18 ili aweze kusaini dili la kuitumikia timu hiyo.


Hivyo atakuwa ndani ya Genk ya Ubelgiji ambayo alicheza pia Mtanzania Mbwana Samatta moaja 2024.

6 COMMENTS:

  1. kila la kheri dogo, kama ni kweli lkn maana nyie hamchelewi kukanusha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahah!!!! Wenzetu mambo yao ni kidijitali haihitaji zile habari za akina Saleh jembe za "kwa mujibu wa mtoa taarifa aliye karibu na uongozi" We ingia tu kwenye mtandao wa Genk kama ni kweli utazikuta

      Delete
  2. Congratulation kelvin John a.k.a. Mbappe

    ReplyDelete
  3. Keep it up never boost up thy self than effort

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic