Walishasema wamemsajili ajibu miaka mitatu hawa jamaa mbona kama hawajielewi na magazeti yao ya global media. Wajinga sana ila kitaeleweka tu 10 years back to back.
Tingisheni vichwa vyenu ili akili iwakae sawa kabla hamjatoa comment zenu kuihusisha Yanga na hizo habari mfu....porojo na urojo wa waandishi wa blog sio kauli rasmi ya Yanga. Kila habari inayoandikwa utaona wanaandika "kwa mujibu wa mtoa habari aliye karibu na uongozi" lakini kiuhalisia ni habari za kutunga za kuuza gazeti
Yanga ni hatari
ReplyDelete1. Yanga yatua stars yazoa straika
2. Yanga yatua ethiopia, yazoa mchezaji bora
3. Akiyeiua malawi anawindwa na yanga
4. Kwa djuma yanga wamepata mashine
5. Huko kaizer chiefs nsko yabeba jembe
6. Mamelodi napo yazoa kifaa
7.....Duh! Mwaka huu mbona hatari?
This is tanga brother.alafu ligi ikianza chenga tupu.
DeleteUmechapiwa buraza sio tanga ni YANGA.ila inaonekana una papara sana.
DeleteLigi ikifikia katikati tegemea visingizio na lawama kwa marefa na TFF.
DeleteYanga yaipora mazembe kiungo
ReplyDeleteWalishasema wamemsajili ajibu miaka mitatu hawa jamaa mbona kama hawajielewi na magazeti yao ya global media. Wajinga sana ila kitaeleweka tu 10 years back to back.
ReplyDeleteTingisheni vichwa vyenu ili akili iwakae sawa kabla hamjatoa comment zenu kuihusisha Yanga na hizo habari mfu....porojo na urojo wa waandishi wa blog sio kauli rasmi ya Yanga.
ReplyDeleteKila habari inayoandikwa utaona wanaandika "kwa mujibu wa mtoa habari aliye karibu na uongozi" lakini kiuhalisia ni habari za kutunga za kuuza gazeti
Kwani mikia kinachowauma ni nini......tulizeni ...... Zenu sisi ndo tumechukua vpl kuliko nyie Sasa mnajisifia nini....
ReplyDeleteHistoria imeanza :>)
Delete