RUVU SHOOTING NAMBA MOJA KWA KADI NYEKUNDU, DODOMA JIJI NJANO, ORODHA HII HAPA
NDANI ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 Klabu ya Dodoma Jiji ni namba moja kwa kukusanya kadi nyingi za njano huku kwa upande wa kadi nyekundu ni Ruvu Shooting ni namba moja. Orodha kamili iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Bara ipo namna hii:-
0 COMMENTS:
Post a Comment