VIDEO: SPIKA NDUGAI ASEMA SIMBA NI MWENDO WA TATUTATU MPAKA JULAI 3
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa kwa sasa kikosi cha Simbe ni mwendo wa tatutatu mpaka Julai 3. Julai 3 unatarajiwa kuchezwa mchezo a watani wa jadi kati ya Simba v Yanga, Uwanja wa Mkapa.
Spika anakera:)
ReplyDeleteHuyo ni kigeugeu, kuwa mikia kuna mfaa
Delete