OSCAR Oscar mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Yanga wanahaki ya kuifuatilia kesi yao ya Bernard Morrison kwa kuwa wao wanaamini kwamba ni mchezaji wao.
Pia amesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) linajua kwamba kama Morrison alikuwa na mkataba na Yanga ama hana hivyo wao walipaswa kutusaidia tangu awali kuhusu suala la mkataba wa mchezaji huyo.
Caf kupitia cas watawasaidieni,inawezekana akili zenu zimegonga mwamba katika suala lakufikiri,mnapaswa kujua kwamba mchezaji kabla hajacheza ligi ya mabingwa lazima jina lake lihakikiwe na caf,na hata ile siku ya mechi lazima majina yapitiwe upya,washabiki wa yanga mnapaswa kujiuliza kwanini Bernard Morrison ameruhusiwa kucheza klabu bingwa ikiwa mnadai mmepeleka kesi CAS?uongozi wa yanga unawadanganya washabiki wake ili wasije kuleta vurugu.hii ina faid ya muda mfupi na ina hasara zakudumu kwasababu accountability ya leaders board inapotea,people are going to lose faith on them,mungu awabiriki.
ReplyDeleteTumeipenda wenyewe achaa ituuuwe hahahahahahaa!
DeleteBenard morisson ameruhusiwa kucheza club bingwa ni baada ya TFF Kumuidhinisha kuwa ni mchezaji halali wa simba,CAF kama CAF wao hawajui kama kuna kesi inayoendelea kwa Morisson na club yake ya zamani yanga.Takupa mfano mwaka juzi kuna mchezaji wa TP Mazembe ali idhinishwa kucheza club bingwa na CAF hao hao,lakin simba walilalamika kuwa Mazembe wamemchezesha mchezaji ambaye hakuwa halali na hio kesi ilipelekwa Cas na mwisho wa siku simba walipewa ushindi na kuendelea na mashindano.Kwani kuidhinishwa kwa mchezaji ili acheze club bingwa kinachoangaliwa ni nini? zaidi ya ATC TU
DeleteNimependa point yako, Utopolo akili zao fupi mashabiki kila siku wanadanganywa bado tu hawashtuki
ReplyDeleteMbona huyo kanjibay wenu haweki mzigo?kila siku mnapigwa za uso tu,we subir timu yenu itakapo anza kufanya madudu ndio mtaanza kuibuka kusiko julikana,yaani mshukuru timu yenu inafanya vizuri ndio madhaifu yote ya kanjibay hayaonekani,
DeleteSasa si Bora huyo ambaye hajaweka mzigo kuliko aliyewaongopea mkikosa ubingwa aulizwe yeye,haya kaulizwa kasema mmechukua ubingwa wa mapinduzi na ameitoa timu manzese kaileta Kigamboni. Hiyo ndo maana halisi ya UTOPOLO
DeleteMambo yote yatajulikana baada ya case kusikilizwa na CAS, hapo ni jitihada tu za watu binafsi
ReplyDeleteEndeleeni kusubiria meli airport.
ReplyDeleteMlisema kesi ni June 2 mbona mpaka leo hakuna mrejesho wowote
ReplyDeleteMrejesho gani unataka?mwenye macho haambiwi tazama.subiri june 2 mwakani.
Delete