VIDEO: BOCCO AREJESHA SHUKRANI KWA WACHEZAJI WENZAKE
JOHN Bocco, nahodha wa Simba ambaye leo Juni 15 amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki kwa mwezi Mei akiwapiku Bernard Morrison na Taddeo Lwanga amesema kuwa siri kubwa ya kuweza kufanya vizuri ni wachezaji wenzake kushirikiana.
0 COMMENTS:
Post a Comment