VIDEO: KIBU DENNIS NYOTA STARS ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGUKA
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Kibu Dennis amesema kuwa anafurahi kuweza kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ambapo alitoa pasi moja na kusababisha faulo wakati Stars ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi pia ameomba sapoti kutoka kwa mashabiki. Kuhusu suala lake la kutakiwa Yanga amesema' no comment'
Nchi nzima imesimama ikimsubiri yanga amalize usahili wake wa magazetini na mitandaoni
ReplyDeleteHahahaha utopox bwana hawajifunzi sasa bado pale airport wambebe tena oryaaa
ReplyDelete