VIDEO: YANGA WATUMA UJUMBE KWA VIONGOZI, WAMTAJA KIBU, MWENYE KISU KIKALI
MASHABIKI wa Yanga wamemtumia ujumbe viongozi ambao wanahusika katika masuala ya usajili wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao na wamemtaja Kibu Dennis kuwa ni mchezaji mzuri
Yanga wamepagawa, kila mchezahi mzuri wao wanamtaka. Ni kama mwanaume mwenye tamaa kila akiona demu anamtaka
ReplyDeleteUjue huyo mwanaume anauwezo
DeleteYanga is always pessimist while Simba is optimist. A pessimist is a person who sees difficulties in every oppotunity, while the optimist is a person who sees opportunities in every difficulty
ReplyDelete