VIDEO: KUNA WACHEZAJI WANAJUA GOLI KULIKO MBWANA SAMATTA
MWAKATALIMA, shabiki wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa ikiwa watatafutwa wachezaji wazuri kuna uhakika hapo baadaye kuwa na timu nzuri ya taifa. Jana Juni 13, Stars ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ameongeza kuwa kuna wachezaji wazuri ambao wanacheza Ligi Daraja la Kwanza na wanalijua lango kuliko akina Mbwana Samatta.
Huyu jamaa yupo sawa sisi hapa tumekalili Simba na Yanga tu,Timu Kama Prison inakosaje Mchezaji National Team ,kwa aina yoyote ya Mfumo wanao Wachezaji.
ReplyDeleteKuna madudu mengi sana stars,hakuna mchezaji hata mmoja kutoka visiwani,ligi daraja la kwanza na hata under 20 ,kama sio madudu ni nini?
ReplyDeleteEti wanaleta vizee,stars zaidi zaidi ni kwa mkapa au bonanza
ReplyDelete