June 4, 2021


MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ameumizwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Simba na anahitaji muda zaidi ili kuweza kutafakari na kupata majibu kupitia kwenye kamusi ya kiswahili kwa kuwa wameparurwa sana, ameongeza pia ameumizwa na mazingira ya kadi mbili nyekundu ambazo wamezipata.  

 

4 COMMENTS:

  1. Matopolo yakitokea kama yalivotokea katika mchezo huo, basi wayapokee kiungwana kama ilivo kwa Ruvu Shooting

    ReplyDelete
  2. Kaulizwa swali zuri, kalijibu kiaina. Kwa nini mechi ya simba wameipeleka mwanza ili hali ya yanga wanacheza dar?
    Halafu unapata wapi jeyri timu inapambama isishuke daraja unaanza kuaminisha kuwa umeonewa kwa kufungwa na timu inayoelekea kuwa bingwa
    Nawashairi ruvi nguvu wanazotumia kupambana na simba wazitumie kwa timu zote ikiwemo yanga.
    Waache kuchukua msimamo wa mkwasa huyo ni yanga anajulikana

    ReplyDelete
  3. Hawa wanafaa kushuka darasa ili wakome na unazi wao wa kukamia mechi fulani tu.Kulikuwa na haja gani ya kuhamishia mechi Mwanza na kuingia gharama wakati nafasi ya kushinda haikuwepo?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic