MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kufanya vizuri ni uwekezaji ambao upo pia wamesema kuwa unaweza kuifunga Simba ila sio mara mbili nje ndani.
Kuhusu mechi yao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 3 wamesema kuwa watani zao wanawaogopa.
Suala la kutolewa na Kaizer Chiefs wameweka wazi kwamba limewauma. Jana Juni 3, ubao wa CCM Kirumba ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba,
Mechi 2 zilizopita kwani ilikuwaje? Tukumbushane
ReplyDeleteKwa nini uchague 2 ?
DeleteWe si inasema wanaiogopa mechi tatu za karibuni umeifunga yanga?
ReplyDelete