VIDEO: RAIS AAGIZA WASANII KUANZA KULIPWA, VAT YA NYASI BANDIA YAONDOLEWA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluh amesema kuwa wasanii wataanza kulipwa na TV pamoja na mitandao kuanzia Desemba, pia amefuta VAT za nyasi bandia na kuwaagiza wasimamiaji wa viwanja vya CCM kuboresha viwanja vyao.
0 COMMENTS:
Post a Comment