MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO) Barbara Gonzalez amesema kuwa wachezaji wake wanapambana kufanya vizuri ndani ya uwanja jambo ambalo wanalifanya. Pia amesema kuwa wachezaji wana tamaa ya ubingwa jambo ambalo linawafanya wafanikiwe.
Kuhusu mechi yao dhidi ya watani wa jadi ambayo imekuwa ikielezwa kuwa inaweza kuyeyuka tena Julai 3, amesema kuwa wadau wanapaswa kujitokeza katika ratiba yoyote ikiwa itakuwa tofauti itakuwa inakiuka utaratibu.
0 COMMENTS:
Post a Comment