VIDEO: UWEZO WA MANYAMA ANAYETAJWA KUPIGIWA HESABU NA SIMBA, YANGA NA AZAM
NYOTA wa Ruvu Shooting ambaye kwa sasa yupo kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edward Manyama ana uwezo wa kufunga licha ya kwamba ni beki anatajwa kuwa kwenye rada za Simba, Yanga na Azam FC, uwezo wake huu hapa ambapo amecheza pia ndani ya Namungo. Video Credit: Azam TV
0 COMMENTS:
Post a Comment