FT: Polisi Tanzania 0-1 Simba
Kipindi cha pili
Zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 90 Nyoni anachezewa faulo
Dakika ya 86 Mohamed anaokoa shuti la Luis, inapigwa kona haileti matunda
Dakika ya 85 Kassim anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 77 Dilunga anaingia Mzamiru anatoka
Dakika ya 76 Kagere anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18, Manula anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 72 Manula anaokoa kichwa cha Mdamu
Dakika ya 71 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 68 Yondan anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 59 Nyoni anaingia anatoka Bwalya
Dakika ya 56 Wawa anacheza faulo kwa Kassim
Dakika ya 52 Bocco anachezewa faulo
Dakika ya 52 Mugalu anatoka anaingia Kagere
Dakika ya 50 Mugalu anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 49 Makame anachezewa faulo
Mdamu anaingia anatoka Tariq Seif kwa Polisi Tanzania ikiwa ni kipindi cha pili
Mapumziko Uwanja wa CCM Kirumba
Uwanja wa CCM Kirumba
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Pato anapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 44 Tshabalala anapeleka mashambulizi Polisi Tanzania
Dakika ya 43 Hassan Nassoro anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 42 Luis anasepa na kijiji ndani ya 18
Dakika ya 41 Wawa anapeleka mashambulizi Polisi Tanzania
Dakika ya 39 Hassan Nassoro anaonyeshwa kadi ya njano
UWANJA wa CCM Kirumba, mchezo wa Ligi Kuu Bara
Polisi Tanzania 0-0 Simba
Dakika ya 27, Luis Miqussone gooooooal
Dakika ya 19, Mugalu na Mzamiru wanamchezea faulo Makame, anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 12 Juma Ramadhan anapeleka mashambulizi kwa Manula.
Dakika ya 17 Bocco anacheza faulo kwa Datius Peter
Dakika ya 13 Mugalu anachezewa faulo na Yondani
Dakika ya 11 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mohamed
Dakika ya 10 Makame anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 8 Kapombe anamchezea faulo Kassim
Dakika ya 7 Daruesh Saliboko anatengeneza nafasi nzuri anakosa nafasi Tariq Seif ndani ya 18 baada ya Manula kudaka
Dakika ya 5 Simba wanapata kona inapigwa na Luis Miquissone inaokolewa na mabeki wa Polisi Tanzania
Dakika ya 3 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18 baada ya Makame kuunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin.
Dakika ya 2 Bwalya anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 2-0 Polisi Tanzania
Vipi matopo, bado ubingwa hauna mwenyewe. Tutaonana hapo tarehe 3 ila mukiingia mitini ka wazee wenu walivoamuwa. Rahaaaa
ReplyDeleteKamasi kama lote!
DeleteBado match mbili tufunge biashara.Simba oyeeeee.Utopolo walisema mwaka huu ubingwa ni wao,Sasa sijui watawaambia Nini fans who.Nimeamini Tanzania Simba Hana mpinzani.level zetu ni As Vita,Kaizer Chiefs,Mazembe,Al Ahly na other African club giants
ReplyDeleteMimi nawambia Matopolo, msimlipe mganga eenu vhochote kwasababu hirizu zake zote kazila Simba mwenda kimya na hakuna alichosaidia kwa miaka mine mfululizo. Matopolo wamenweya vichwa mifukoni wamebadili msjina, wapiii haijasaidia kitu
ReplyDelete