July 19, 2021

 


MOHAMED Hussein, nahodha wa Simba amesema kuwa ni furaha kwao kuweza kutwaa taji la Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo. 


Jana, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilikabidhiwa taji hilo baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Namungo FC.


Kwa msimamo ipo na jumla ya pointi 83 baada ya kucheza jumla ya mechi 34 msimu wa 2020/21.


Hussein amesema:"Kila kitu kipo sawa na ni furaha kwetu kuona kwamba tunatwaa ubingwa wa ligi na kila mmoja anafurahi kuona tumeshinda.


"Mashabiki wetu wanahitaji shukrani kwa kuwa wamekuwa nasi bega kwa bega hivyo ni furaha kuona tumefanikiwa kufanya hivyo," .

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic