VIDEO: MZEE WA PASI MILIONI MOJA SAFARI KIGOMA, WATAMBIA SAFU YA USHAMBULIAJI
MZEE wa pasi milioni shabiki wa Simba amesema kuwa msimu ujao wa 2021/22 watakuja na mtindo mpya wa kuwanyoosha wapinzani wao. Kuhusu safari ya Kigoma wameweka wazi kwamba lazima Simba washikamane kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
Haya, yote kheri
ReplyDelete