INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji mwenye miaka 20.
Habari zinaeleza kuwa Yanga walisepa na mshambuliaji huyo ambaye alikuwa kwenye hesabu za kumalizana na Simba.
Na kesho au jioni utasema Simba wamebadili ubao,Yanga haiviziii kila aliye sajiliwa alikuwa kwa mpango.Ndiyo maana tumekubali kucheza CECAFA na Yanga B
Ndio usajili wetu kibongobongo, mwenye kisu kikali ndio hula nyama
ReplyDeleteKweli umezidi kutunga story
ReplyDeleteNa kesho au jioni utasema Simba wamebadili ubao,Yanga haiviziii kila aliye sajiliwa alikuwa kwa mpango.Ndiyo maana tumekubali kucheza CECAFA na Yanga B
ReplyDeleteKwa nini usisubiri taarifa kamili? Ikitokea kinyume utajificha wapi?
ReplyDelete