September 10, 2021


 AZAM FC kesho ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Horseed FC itamkosa Prince Dube ambaye ni majeruhi.

Nyota huyo kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini ambapo amefanyiwa upasuaji.

Uongozi wa Azam FC umeweka wazi kuwa maendeleo ya nyota huyo kwa sasa yanaendelea vizuri.

Dumbe ambaye msimu uliopita alitupia mabao 14 na kutoa pasi tano za mabao atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic