TWAHA Kiduku bondia wa ngumi ambaye alishinda pambano lake la hivi karibuni dhidi ya Dulla Mbabe na kusepa na gari mazima amesema kuwa furaha yake ni ushindi huku shukrani akirudisha kwa Mungu.
Pia ameweka wazi kwamba alikuwa hawazi gari kwa kuwa analo hivyo alikuwa anahitaji kupata ushindi. Kwa pigo alilopigwa mwanzo ilikuwa ni sehemu ya mchezo na aliponyayuka aliweza kuendelea raundi ya pili na kusimama upya.Kumbe ile ngumi aliyopigwa alikuwa hajui kama yupo kwenye pambano.
0 COMMENTS:
Post a Comment