September 10, 2021

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hakuna suala la kudaiwa kwa timu hiyo kutokana na habari kueleza kuwa madeni yamewafanya washindwe kukamilisha usajili wa wachezaji wao watatu ikiwa ni pamoja na Khalid Aucho, Djuma Shaban na Fiston Mayele.

 Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa hizo zote zinazotajwa ni porojo na mpango wa kuwatoa kwenye reli jambo ambalo haliwezekani na wanaamini kwamba watapata ushindi mbele ya Rivers United.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic