October 10, 2021

 


KWENYE mchezo wa kirafiki leo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU SC, Uwanja wa Mkapa.

Ni bao la Fiston Mayele ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye alifunga bao hilo dakika ya 42.

Kipindi cha kwanza kilikamilika kwa Yanga kuwa mbele kwa bao hilo ambalo lilidumu mpaka dakika 90 zilipokamilika.

Katika mchezo wa leo kipa Eric Johora alianza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kusajiliwa katika kikosi hicho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic