October 3, 2021

15 COMMENTS:

  1. Dah! Nimewakubali Azam; hili ni kali kishenzi. Linalandana na la Mnyama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnyama pia basi lake ni brand hii ya Mercedes-Benz?

      Delete
  2. Wew hakuna timu Africa mashariki na Kati inamiliki gari Kama hyo ya Azam fc.. Labda south Africa unaweza kuta chache au uarabuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Basi zinafanana kwa kazi,idadi ya abilia,shida iko wapi ???

      Delete
  3. Wow! It's a Mercedes-Benz.
    Congratulations Azam football club.

    ReplyDelete
  4. Wow!It's a Mercedes-Benz. Congratulations Azsm football club.

    ReplyDelete
  5. Basi mpya vichapo na suluhu palepale

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwaka huu AZAM watakuwa washindi wa PILI WAKATI YANGA WASHINDI WA TATU NA SIMBA MABINGWA WA MARA YA TANO

      Delete
  6. Kuna kitu kknanishangaza Sana. Basi lina kazi sawa Na mengine. Pia lina KASI (SPEED) SAWA NA mengine.
    MUDA WA KUDUMU NA BARABARA ZINAFANANA. IDADI YA WAPANDAJU AU ABIRIA NI SAWA NA MENGINE SASA SHIDA YA KULIONA LILE LA SIMNA SIO BORA AU SIO BORA KULIKO LA AZAM UNATAKA WAPI???

    ReplyDelete
  7. Simba na Yanga ma bus yao ni ya kawaida sana huwezi fananisha na hilo bus la Azam hilo bus ni lever za timu kubwa barani ulaya muelewe hivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. sawa Ni kwasababu ya kutangaza ICECREAM

      Delete
  8. Mnashangilia kuliona basi jipya wakati Simba Sc🦁 anaweka mikakati ya kuchukua πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ† mfululizo, πŸ’ͺ🦁 Nguvu moja, we're champions

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic