SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa matokeo ambayo wanayapata kwenye mechi zao za hivi karibuni ni kawaida ila uhakika wao ni mkubwa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji.
Simba inashuka Uwanja wa Jamhuri Dodoma ikiwa inakumbuka kwamba imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana na Biashara United ya Mara Uwanja wa Karume.
0 COMMENTS:
Post a Comment