September 12, 2013



Kocha wa Sunderland, Paolo Di Canio alikuwa kivutio baada ya kikosi cha wakongwe wa AC Milan kilipocheza mechi maarufu ya kirafiki dhidi ya wakongwe wa Newcastle.
Mechi hiyo ilikuwa maalum kwa ajili ya kumuaga kipa Steve Harper ambaye alikosa penalti na kuwapa AC Milan ushindi wa mabao 2-1.
 
Di Canio ambaye alikuwa bingwa wa vituko wakati akiwa mchezaji wa West Ham United aliendelza vituko vyake hivyo jana.
Moja ya vituko ilikuwa ni kumpa mwamuzi wa mchezo huo kadi nyekundu na kusababisha mashabiki 50,793 kwenye Uwanja wa St James Park kushangilia kwa nguvu.
Wakongwe kibao walikuwemo, mmoja ni mshambuliaji nyota wa zamani wa England, Allan Shearer. Vikosi hivi hapa.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic