1 |
Nahodha wa Hoffenheim, Andreas Beck alijikuta akimuangukia
mpigapicha wa runinga ya Sky aliyekuwa akifanya kazi ya kurusha moja kwa moja
mechi ya Ligi ya Bundesliga kati ya timu hiyo na Mainz.
Kiungo wa Mainz ndiye alimsukuma Beck ambaye alimgonga
mpigapicha huyo aliyelazimika kutolewa katika eneo hilo akiwa kwenye machela na
kwenda kutibiwa. Lakini ndiyo hivyo, ilikuwa ni ajali kazini.
2 |
3 |
4 |
0 COMMENTS:
Post a Comment