MTUNZA VIFAA WA YANGA, OMARY MAARUFU KWA JINA LA MPOGORO AKIJITAHIDI KUSHUKA MARA TU BAADA YA AJALI HIYO KUTOKEA |
WACHEZAJI WANASAIDIANA KUSHUKA KUPITIA MADIRISHANI |
MENEJA, HAFIDHI AKIMSAIDIA KOCHA VAN DER PLUIJM KUSHUKA |
MENEJA HAFIDHI AKISHUKA KWA TAAABU... |
WACHEZAJI WAKIWA PEMBENI, HAWAAMINI! |
KOCHA MKWASA BAADA YA KUTOKEA DIRISHANI, LAKINI ALIKUWA MKALI HUYO KUPIGWA PICHA. |
MPOGORO, BADO ANAPAMBANA KUFIKA CHINI, HAIKUWA LAHISI |
0 COMMENTS:
Post a Comment