August 27, 2014


Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Olvier Giroud ameishuhudia timu yake ikisonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi akiwa kitandani.

Arsenal imefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi baada ya kuishinda Besiktas ya Uturuki kwa bao 1-0.

Lakini Goroud raia wa Ufaransa alikuwa kitandani kutokana na kuumia katika mechi ya Ligi Kuu England.
Mshambuliaji huyo huenda akarejea mwakani kutokana na maumivu hayo aliyoyapata.
Arsenal imesonga baada ya Alexis Sanchez aliyejiunga na timu hiyo akitokea Barcelona, ndiye ameibuka shujaa baada ya kufunga bao hilo pekee baada ya kupata pasi ya Jack Wilshere.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic