November 5, 2014


Uongozi Simba umefanya mishemishe fasta na kufanikiwa kumbaki kiungo wa Jonas Mkude.
Simba imembakiza mkude kwa kumpa mkataba mpya pamoja na gari.

Mkude amepewa gari aina ya Toyota GX 115 na imeelezwa ameishakabidhiwa baada tu ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitokea Mbeya.
MFANO WA GARI KAMA ALILOPEWA MKUDE.
Katika mkataba huo, kiungo huyo ameongezewa mshara ambao unaelezwa umefikia Dh milioni 1.2.
Awali Yanga ilionyesha nia ya kuongeza kiungo cha ukabaji na Mkude alikuwa ni sehemu ya lengo.

Lakini baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba wakaona ni vema kumuongezea mkataba na kumpa mshahara mzuri huku wakiwa na uhakika kuwa wanamuacha kiungo Mrundi, Pierre Kwizera.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic