December 10, 2014

JUUKO...
Joseph Sserunkuma na Juuko Murshid wameanza majaribio na Simba.
Joseph anayekipiga Express ya Uganda ni mdogo wake Danny Sserunkuma ambaye amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya.

Tayari wachezaji hao wawili wameanza majaribio na Simba katika kambi iliyopo Zanzibar.
Juuko ni beki aliyewahi kucheza nchini Uganda na barani Asia wakati Sserunkuma amekuwa akikipiga Express.

Wawili hao wamefanya mazoezi na Simba leo jioni kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic