December 10, 2014


Kpah Sean Sherman raia wa Liberia leo ametua na kujiunga na wenzake kambini Yanga.
Mshambuliaji huyo aliyekuwa anakipiga nchini Cyprus ataanza mazoezi na Yanga kesho.

Yanga imeweka kambi kwenye hoteli ya Landmark, Mbezi Beach jijini Dar.

Lengo ni kumfanyia majaribio lakini uongozi wa Yanga umeeleza mshambuliaji huyo atasajiliwa kwa mwaka mmoja.
Kuna uwezekano Yanga ikamtumia kwenye mechi na Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba.
Video za mechi mbalimbali za Sherman zinaonyesha ana uwezo mkubwa wa kufunga mabao na kutoa pasi zinazozaa mabao.

Joseph Sserunkuma na Juuko Murshid wameanza majaribio na Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic